Paulina NgwawasyaWisdom&Wellness Supervisor Ilala & Kinondoni, Dar-es-Salaam Mwanadamu peke yako huwezi kufanikisha malengo yako katika maisha kwa kujitenga, unahitaji ushirikiano. Pia ina maana kwamba ushirikiano katika jamii ni muhimu sana kwani ushirikiano huleta maendeleo na mafanikio mazuri katika jamii au kazi. Msemo huu unatukumbusha kufanya kazi kwa ushirikiano mkubwa.
Tag Archives: Wisdom&Wellness Talks
VUNJA JUNGU HUWA ANA UWOGA, HUJIFUNGIA KUHOFU AKITOKA WATASEMA NI YEYE KAHARIBU
Paulina NgwawasyaWisdom&Wellness Supervisor Ilala & Kinondoni,Dar-es-Salaam Watu waoga huchelewa kujitokeza mbele ya watu kwa hofu kuwa watasingiziwa maovu. Hii huleta madhara makubwa katika jamii.