SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI

Suzan MwingiraAdministrative Assistant Msemo huu unatufundisha wazazi na walezi kuwalea na kuwafundisha watoto katika maadili na mienendo mizuri ya  tabia. Hii huwasaidia wanapokuwa katika mazingira yanayowazunguka waweze kukubalika. Mtoto anapofundishwa angali bado mdogo inamsaidia kujua jambo zuri na baya kadri anavyoendelea kukua katika maisha yake. Hivyo itamsaidia pindi atakapokuwa mkubwa kukubalika katika jamii na hasaContinue reading “SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI”

UNAPOFANYA KAZI NI ADHA TU, MAVUNO YAKIWA TAYARI NI VICHEKO

Grace MshangaWisdom&Wellness Supervisor Temeke & Ubungo,Dar-es-Salaam Katika hali ya kawaida binadamu kufanya kazi ni adha lakini mapato yapatikanapo ni kicheko. Hivyo vijana na wana ndoa wapya huhamasishwa kufanya kazi kwa bidii ili kupata mavuno bora na mengi ili kujitunza wenyewe na familia zao.