Jielewe Kwanza Mwenyewe, Watakuelewa Pia

Victoria Nakajumo - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Victoria Nakajumo (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Kama unataka kuwa kitabu cha kusomwa hata na vizazi vijavyo, hakikisha unajisoma na kujielewa mwenyewe, kwanza kwa mawazo yako na ujumbe wako. Ila kama unataka kuwa kitabu cha kusomwa leo na baadae kusahauliwa, basi endelea kutafuta kueleweka na watu wa leo. 

Kumbuka unaowasoma na kuwaelewa leo, jana na juzi hawakueleweka maana waliishi jana, wakiiwaza leo na wakaiandaa leo ili wewe wa leo usaidiwe na jana yao.

Je, unaamua kuwa kitabu cha kesho, unaielewa kesho au unataka uwafurahishe wasioiona kesho kwa kufuata mawazo yao badala ya yale Mungu kakupa kwa ajili yako na watu wake?

Sio vibaya kama utaeleweka leo, lakini lazima uanze kujielewa wewe kabla hawajakuelewa wengine.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection 

One thought on “Jielewe Kwanza Mwenyewe, Watakuelewa Pia

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: