Penye Mafanikio Kuna Furaha

Alfreda George - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Alfreda George (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Shughuli yoyote ambayo mwanadamu anafanya ni kwa madhumuni ya kufanikiwa. Katika mafanikio hayo ndipo inazaliwa furaha. Daima ukiona mtu amefurahi sana, ukitafuta sababu utakuta kuwa kuna mahali amefanikiwa. Nyumba yeyote ambayo imejaa upendo, basi elewa kuwa pale pana mafanikio kwa njia moja au nyingine.

Maisha yanaenda vizuri kwa mafanikio yaliyopo. Nyumba ya namna hii huwa haipungukiwi wageni. Tegemezi huwa ni wengi kuliko maelezo. Lakini siri kubwa ni mafanikio ya mtu mmoja ambaye amehangaika kufikia hapo alipo. 

Usemi huu unafanana na ule usemao mkono mtupu haulambwi. Kwa kawaida, nyumba isiyo na kitu huwa haipati wageni. Hali kadhalika, nyumba za aina hii, yaani ambazo hazina kitu, ugomvi huwa hauishi. Hii ina maana kuwa huzuni na uchungu ndivyo vinakuwa vinatawala nyumba. Ikumbukwe kuwa, mafanikio yanatokana na bidii iliyowekwa na mtu, na si vinginevyo. Kila mtu anapaswa kujitahidi sana kuhangaikia mafanikio yake.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: