Mawazo Ya Watu Wenye Hekima Ni Kama Shamba

Alfreda George - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Alfreda George (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Hekima ni mojawapo ya vipaji ambavyo Muumba wetu hutoa kwa viumbe wake. Ieleweke kuwa, sio kila mtu anajaliwa kupata vipaji. Lakini endapo itatokea kuwa unataka kipaji basi unashauriwa kuwa ni vema ukaomba hekima.

Kwa kawaida, mtu mwenye hekima huwa ana busara sana. Mara nyingi watu wa aina hiyo, ambao wana hekima, ndio huwa wanakuwa viongozi katika familia zao. Uzoefu unaonyesha kuwa watu wenye hekima huwa na uwezo wa kutatua migogoro na matatizo katika jamii. Hali kadhalika, watu hawa huwa hawakubali kushindwa katika suala lolote. Pia huwa tayari kwa jambo lolote litakalokuja kutokea mbele yao. Watu wa namna hii ndio ambao hutumika na hufaa sana kwenye usuluhishi wa migogoro ya mashamba.

Ukiwa na hekima hakuna jambo litakukwaza. Busara zako na hekima ndizo ambazo zitakuongoza. Tunashauriwa kumwomba Mungu atupatie hekima kwa ajili ya kutuwezesha kuwasaidia watu wengi kwenye jamii zinazotuzunguka

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: