Hakuna Marefu Yasiyokuwa Na Ncha

Caroline Swai - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Caroline Swai (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Maisha ni mzunguko, na sisi binadamu tunapoishi hapa duniani, tunakutana na mambo mengi sana yakiwemo mazuri na mengine mabaya, ya kusikitisha na hata yanayofurahisha.

Kwa kawaida kila jambo lina mwanzo na mwisho wake. Sisi kama binadamu tunatakiwa kujua au kutambua mwanzo wa jambo lolote kwani itakuwa rahisi kujua undani wake kwa vile wewe ndiye mwanzilishi wa hilo jambo au unayelijua zaidi undani wake tangu awali.

Simulizi hii inatukumbusha na kutufundisha kuwa kila kitu hapa duniani kina mwanzo na mwisho wake. Inatukumbusha pia kuwa sisi ni wapitaji tu hapa duniani. Kwa kutambua hilo ni vema kutumia vizuri mudai wetu wa hapa duniani. Hali kadhalika, yatupasa tutumie nafasi zetu na hata fursa tunazopata katika mizunguko yetu ili tuweze kufanikiwa.

Kila mtu angependa mwisho wetu wa hapa duniani uwe mzuri na wenye manufaa kwa vizazi vyetu vijavyo. Yatupasa tukumbuke kuwa kila kitu hapa duniani kinakuja na kupita. Hata sisi binadamu tumezaliwa na tutapita na kuiacha dunia kama ilivyo, kama tulivyoikuta. Hakuna binadamu aliyekuja kuishi hapa duniani milele yote. Methali inayosema, “Wakati Ukuta” inaendana sana na msemo katika simulizi hii.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: