Mchumia Juani Hulia Kivulini

Masimulizi

by Suzanne Njana (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Mchumia juani ni mtu anayetafuta riziki kwa kufanya kazi, biashara au ujasiriamali. Jitihada hizo hufanywa kwa bidii. Kulia kivulini ni mafanikio au matunda anayopata baada ya kazi ngumu.

Katika kazi yoyote ile kuna changamoto zake, kama vile kukosa mtaji, masharti magumu ya mitaji, kukosa ujuzi, ufanisi duni wa kazi, na tatizo la masoko. Pamoja na yote, inatulazimu kufanya jitihada ili tuweze kufanikiwa na kupata mafanikio na matunda mazuri.

Kwa hiyo ili ufanikiwe katika maisha ni lazima ujitume, uwe mbunifu katika kazi zako na uwe mwenye mipango bora ya mapato na matumizi. 

Mtu yeyote mwenye wivu wa mafanikio akimwona mtu wa aina hii hupenda kuiga ili naye aweze kujikwamua kutoka kwenye umaskini. Kila mtu angependa kulia kivulini baada ya Lusitania juani.

Usemi huu unatufundisha kuwa mtu anayejituma na kufanya kazi kwa bidii, bila kuchoka, hufanikiwa na hatimaye hufurahia matunda ya kazi yake akiwa ametulia, akiwa kivulini. Pia uzoefu unaonyesha kuwa anayejituma kwa bidii zake zote huwa  hakosi. Inaweza ikachukua muda, lakini riziki yake huja kwa wakati uliopangwa na Muumba.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: