Moyo Ni Msitu

Alfreda George - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Alfreda George (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Moyo ni sehemu au kiungo cha mwili ambacho ni kidogo na hakionekani. Pamoja na udogo wake, kiungo hicho ndio injini ya mwili na kinabeba maamuzi ya kila kitu afanyacho binadamu. Moyo ni kiungo ambacho kinaongea kila wakati. Maongezi mazuri na mabaya hutoka kwenye moyo. Ni kiungo ambacho kinaweza kukupelekea kutoa maamuzi chanya au hasi. Zaidi ya yote, moyo unaweza kusababisha mafarakano katika jamii na hata familia pia.

Tunatakiwa kuulinda sana moyo ili usituingize katika hatia maana moyo unaweza kukupangia kuwa, yule usiseme nae, ana moja mbili tatu, wakati pengine siye. Lakini mwisho wa siku ukifuatilia moyo unakuchonganisha tu na huyo mtu. Mwisho unabakia kujutia kwa lile ulilolitenda. 

Chunga sana moyo na hisia zako, kwani huwa wanaenda sambamba. Daima moyo unaweza kuwa mdanganyifu sana, hubena mema na mabaya. Zaidi ya yote, yatupasa kuwa makini sana na kujenga ufahamu katika mioyo yetu. Tukwepe kukurupuka tukiamrishwa na moyo kutenda jambo, tupime kabla ya kutenda.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: