Fahamu Kwanini Watu Wanashindwa Katika Maisha

Alfreda George - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Alfreda George (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Maisha ya mtu yamo katika fikira zake. Utakapo jinenea vibaya ndivyo itakavyo kuwa. Zaidi sana ni ile hali ya kushikilia mambo mabaya yaliyokutokea huko nyuma. Habari za jana na zile zilizopita hazina nafasi katika maisha yako ya sasa. Habari hizo ndizo zinazokuchelewesha kuondoka kutoka kwenye hatua hii na kusogea kwenye hatua nyingine. Ondoa habari mbaya ili zisije kuwa kikwazo kwa maendeleo ya mipango yako. Anza upya kila siku iendayo kwa Mungu. Kumbuka, Mungu wetu ni mpya kila siku, na ndivyo wewe unavyotakiwa uwe. 

Kwa hali hiyo kushindwa hapo hakupo. Mathalani, kwa mfanya biashara, machinga ama yeyote yule, kukosa leo ni mwanzo wa kupata kesho. Yakupasa ukiri, na uinenee vizuri biashara yako ama chochote unachofanya, hapo hutashindwa. Ni lazima uwe na mawazo chanya, mawazo hasi, yatakupoteza. Jitamkie ushindi kwa kila ufanyacho, iwe ni biashara, masomo, na mambo mengine yoyote yawayo.

The Healing Hands Project

The Healing Hands empowers people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – alleviating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain free mental health services in underserved communities and promote the economic empowerment of trained grandmothers who implementing #WHO #mhGAP evidence-based psychosocial interventions. The project provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources, referrals, advocacy and awareness raising delivered through arts. Clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: