Chema Chajiuza, Kibaya Chajitembeza

Tap Elderly Women's Wisdom for Youth (TEWWY)

Simulizi

by Tap Elderly Women’s Wisdom for Youth (TEWWY).

Kwa kawaida, kitu kikiwa kizuri, watu watakinunua wenyewe bila ya kushawishiwa. Lakini kama kikiwa kibaya, itabidi kitangazwe tangazwe ama kipigiwe debe na pengine italazimu ubaya wake ufunikwe na kufichwa barabara ili watu wasiuone ukweli.

Usemi huu hutumika kuonyesha kuwa mtu au kitu kizuri kitapendwa tu na watu, hata iweje. Kwa kitu kizuri, suala la kuzunguka zunguka na kukitangaza halitakuwepo kabisa. Kwa hakika, kitu kizuri kitajitangaza chenyewe kutokana na sifa na uzuri wake. Hata kwa upande wa binadamu ni hivyo hivyo. Hii ina maana kuwa inatulazimu tuwe watu wazuri na tufanye mambo mazuri ili tuweze kukubalika na jamii inayotuzunguka.

Vile vile usemi huu, unatutahadharisha sana na wale watu wenye tabia ya kupenda kujisifusifu wenyewe, au kusifia uzuri wa vitu bila ya kutoa fursa kwa watazamaji kujionea wenyewe kwa macho yao. Mara nyingi, ukweli huwa ni watu ama vitu kama hivyo kuwa havina sifa hizo, sifa zinazotolewa huwa ni kiasi cha kuwadanganya na kuwahadaa watu na si vinginevyo.

The Healing Hands Project

The Healing Hands project will economically empower people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – eliminating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain the implementation of accessible psychosocial interventions in underserved communities and promote the economic empowerment of the grandmothers who have been trained in and are implementing WHO’s mental health Gap Action Program. Healing Hands provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay up-to-date.

#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #mhGAP #HealingHands #Arts #Culture #Tanzania

One thought on “Chema Chajiuza, Kibaya Chajitembeza

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: