Cheka Nao Uwajue Hila Zao

Prisca Mbenna - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi

by Prisca Mbenna (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Ni jambo la kawaida kabisa kuwa unapofika ugenini na kuweka makazi yako hapo, inakupasa kuzoeana na wenyeji wako ili uwajue vizuri. Yakupasa pia kujua mila na desturi zao ili uweze kuendane nao. Usipotaka kuchangamana na watu, na hasa kwenye mazingira mapya, ukaamua kujifungia hapo kwenye makazi yako, utashindwa kujua mazingira ya hapo na hivyo kuishia kuwa mpweke kwa kila jambo.

Cheka na watu, ukicheka na watu, changamana nao. Kwa kufanya hivyo utapata faida ya kuwajua wenyeji wako. Kwa kufanya hivyo, utatengeneza marafiki wapya ambao watakuondoa upweke ambao unaweza kuwa nao ukiwa ugenini. Kumbuka, ‘Hakuna Mtu Kisiwa’, (No Person is an Island).

The Healing Hands Project

The Healing Hands project will economically empower people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – eliminating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain the implementation of accessible psychosocial interventions in underserved communities and promote the economic empowerment of the grandmothers who have been trained in and are implementing WHO’s mental health Gap Action Program. Healing Hands provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay up-to-date.

#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #mhGAP #HealingHands #Art #Culture #Tanzania

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: