Mkono Wa Birika

Margaret Kayombo - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Simulizi …

by Margaret Kayombo (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Birika ni chombo cha kuwekea maji au chai ambacho mkono wake umepinda. Wakati mwingine usemi huu tunaulinganisha na ule usemao “roho ya korosho.”

Misemo hii kwa maisha ya kawaida inaelekezwa kwa mtu bahili au mchoyo. Mtu mchoyo au bahili yupo tayari kukaa na vitu alivyonavyo hata kama havitumii, yuko radhi viharibike au vioze kuliko kuvigawa kwa wenye uhitaji. Tabia ya uchoyo siyo nzuri hata kidogo. Uchoyo huweza kumsababishia mtu kukosa mafanikio kabisa katika maisha yake.

Ubahili na uchoyo havikubaliki katika maisha ya mwanadamu. Kuna usemi mwingine unasema: heri kutoa kuliko kupokea. Ukitoa unapata baraka zaidi kuliko kupokea.

The Healing Hands Project

The Healing Hands project will economically empower people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – eliminating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain the implementation of accessible psychosocial interventions in underserved communities and promote the economic empowerment of the grandmothers who have been trained in and are implementing WHO’s mental health Gap Action Program. Healing Hands provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay up-to-date.

#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #mhGAP #HealingHands #Art #Culture #Tanzania

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: