Kawaida Ni Kama Sheria

Margaret Kayombo - Wisdom&Wellness Counselor (TEWWY)

Masimulizi …

by Margaret Kayombo (Wisdom&Wellness Counselor – TEWWY).

Kitu kilichozoeleka huwa ni kama sheria. Msemo huu mara nyingi hutumika kuelezea pale mtu anapoonekana kukizoea kitu au jambo fulani. Kujenga mazoea hayo huleta shida katika jitihada za kutaka kuacha. Katika jamii zetu, hayo yanatokea sana. Mathalan, mtu aliyezoea kuwa na tabia mbaya kama wizi au ukahaba, siyo rahisi kuiacha tabia hiyo. Mara nyingi tumeshuhudia vijana waliopata kesi za wizi na wakafungwa miaka kadha lakini wakitoka tu jela hawachukui muda, hurudia tena kuiba. Kwao, kuiba wanaona ni kitu cha kawaida sana na mara nyingine hukosa raha wakikaa bila kuiba. Wanakuwa kama wamepungukiwa kitu fulani muhimu katika maisha yao.

Kama wazazi au walezi yatupasa kuwapa watoto wetu malezi bora ili watambue yaliyo mema na mabaya. Inatupasa pia, kama wazazi, mara watoto wanapoanza kuonyesha tabia zisizokubalika katika jamii, waambiwe mara moja la sivyo wataendelea kutenda maovu na hatimaye kuzoea na kuona kama ni jambo la kawaida wakati ni jambo baya litakalowaharibia maisha yao na kuleta aibu kwenye familia.

Hakuna familia inayopenda kuwa na watoto wenye tabia mbaya. Sote hupenda kuwa na watoto wenye tabia njema kwani hiyo ni heshima kubwa kwa familia.

The Healing Hands Project

The Healing Hands project will economically empower people to achieve financial autonomy by building entrepreneurial skills and embedding skills transfer within the community – eliminating poverty as a driver of ill mental health. Funds raised from the jewelry will help sustain the implementation of accessible psychosocial interventions in underserved communities and promote the economic empowerment of the grandmothers who have been trained in and are implementing WHO’s mental health Gap Action Program. Healing Hands provides interpersonal counseling, group talk therapy, and psychoeducation resources delivered through arts, where clients learn to handcraft traditional beaded jewelry as a marketable skill. Follow us @TEWWYWisdom @WisdomWellnessCollection to stay up-to-date.

#MentalHealth #Grandmother #Wisdom #Wellness #mhGAP #HealingHands #Art #Culture #Tanzania

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: