
Caroline Swai
Wisdom&Wellness Supervisor
Kigamboni,Kinondoni & Ubungo,Dar-es-Salaam
Inatufundisha kuwa kila jambo linatakiwa kufanyika kwa wakati wake kama lilivyopangwa. Vinginevyo ukichelewa, utakosa mengi, unaweza pata hasara na itakuwa haina maana kwako. Msemo huu unafanana na ule usemao “Chelewa chelewa utakuta mwana si wako”.